Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Spika Wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Awasili Mkoani Pwani Kwa Ziara Ya Kikazi

  • 24
Scroll Down To Discover

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 25 Aprili 2025, amewasili mkoani Pwani kwa ziara ya kikazi.

Katika ziara hiyo, Spika anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi kupitia Mkutano wa Hadhara utakaofanyika mkoani humo ikiwa ni sehemu ya shughuli za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 



Prev Post Mkazi Wa Maswa Ahukumiwa Miaka 30 Jela Kwa Kumbaka Binti Yake Na Kumpa Mimba
Next Post Rais Samia Aidhinisha Bilioni 30 Kukarabati Barabara Zilizoathiriwa Na Mvua
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook