Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom Tanzania yagawa makapu kwa wateja Dodoma

  • 71
Scroll Down To Discover

Katika muendelezo wa kusambaza Kapu la Vodacom kwenye maeneo mbalimbali nchini, timu ya Vodacom Tanzania Plc imefika Soko la Machinga Dodoma na kuwapatia wateja wake zawadi za makapu yaliyo sheheni vitu lukuki.

Zoezi hili linaendeleza utoaji wa makapu ambao tayari umefanyika katika mikoa ya mbalimbali hapa nchini. Hatua hii inaonyesha utayari wa Vodacom kurudisha shukrani kwa wateja wake, kusherehekea pamoja nao katika msimu huu wa sikukuu na kuhitimisha sherehe za miaka 25 ya huduma nchini Tanzania.

The post Vodacom Tanzania yagawa makapu kwa wateja Dodoma appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 14, 2025
Next Post MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA AFARIKI DUNIA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook