Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Je, Tume ya Oktoba 29 itajibu maswali magumu kuhusu vurugu za uchaguzi? Katika Dira ya Dunia TV

  • 62
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti wa Tume huru ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema tume yake itafanya uchunguzi wa kina na wa wazi, huku ikiomba ushirikiano kutoka kwa makundi yote yanayohusika moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja na matukio hayo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post MKUTANO MKUU SIMBA:….MANGUNGU AWASHIWA MOTO…..WANACHAMA WAMTAKA AJIUZULU…
Next Post Simba Yasitisha Mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev, Matola Kuiongoza Kwa Muda
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook