Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Kwenye Kituo cha Polisi Kikatiti Arusha

  • 65
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.

Akizungumza na wakazi wa eneo hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wananchi kuwa makini dhidi ya watu wasiolitakia mema Taifa kwa kuchochea vurugu na kuharibu miundombinu ya umma na ya binafsi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla.

 

The post Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Kwenye Kituo cha Polisi Kikatiti Arusha appeared first on Global Publishers.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 30, 2025
Next Post Video Vixen Genno Acharuka “Nilikopwa Kwenye Video ya Diamond na Baba Levo” – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook