Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wanajeshi wa Guinea-Bissau waipindua serikali na kumkamata Rais Embaló, katika Dira ya Dunia TV

  • 63
Scroll Down To Discover

Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embaló amekamatwa na watu wenye silaha siku chache tu baada ya uchaguzi wenye utata ambapo upinzani ulizuiliwa kushiriki. Kundi la maafisa wa kijeshi wamesema wametwaa udhibiti wa Guinea-Bissau. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Jeshi lamuapisha Jenerali Horta N'Tam kama rais mpya wa Guinea Bissau, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Mkama: Mazingira Wezeshi Yachochea Rekodi Mpya ya Uuzaji wa Hisa Tanzania
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook