Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Jeshi lamuapisha Jenerali Horta N'Tam kama rais mpya wa Guinea Bissau, katika Dira ya Dunia TV

  • 70
Scroll Down To Discover

Jeshi la Guinea-Bissau limemteua jenerali kuiongoza nchi hiyo siku moja baada ya kuchukua madaraka. Jenerali Horta N'Tam ndiye rais wa mpito kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kula kiapo na kuapishwa katika sherehe fupi katika makao makuu ya jeshi hii leo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post HUKO CAF WIKI HII…NI YANGA TU…..HAKUNA CHA SIMBA WALA UBAYA UBWELA😂😂😂……
Next Post Wanajeshi wa Guinea-Bissau waipindua serikali na kumkamata Rais Embaló, katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook