Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MC Pilipili Afariki Kwa Kupigwa na Watu Wasiojulikana – Video

  • 80
Scroll Down To Discover

Kaka wa marehemu Emmanuel Mathias, maarufu kama MC Pilipili, amesema matokeo ya uchunguzi wa awali yanaonyesha kwamba kifo cha mdogo wake kilisababishwa na kupigwa na watu wasiojulikana, tukio lililompelekea kujeruhiwa vibaya na hatimaye kupoteza maisha.

Aidha, amesema familia imepokea taarifa hizo kwa majonzi makubwa na sasa inasubiri hatua zaidi kutoka kwa vyombo vya usalama ili kuhakikisha waliohusika wanatambulika na kuchukuliwa hatua za kisheria.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Waziri Mchengerwa Aanza Rasmi Majukumu Wizara Ya Afya
Next Post Rais Samia Aunda Tume ya Uchunguzi Huru wa Matukio ya Amani Kabla na Baada ya Uchaguzi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook