Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mchengerwa Aanza Rasmi Majukumu Wizara Ya Afya

  • 68
Scroll Down To Discover

Waziri wa Afya Mohammed Mchengerwa, ameanza rasmi majukumu yake leo tarehe 18 Novemba, 2025 mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Afya, Mchengerwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi wamepokelewa na Katibu Mkuu Dkt. Seif Shekalange pamoja na viongozi mbalimbali na watumishi wa wizara.

POLISI WATHIBITISHA MC PILIPILI AMEUAWA – KIFO CHAKE HAKIKUWA CHA KAWAIDA….



Prev Post Baraza jipya la mawaziri Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post MC Pilipili Afariki Kwa Kupigwa na Watu Wasiojulikana – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook