Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Baraza jipya la mawaziri Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • 74
Scroll Down To Discover

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 27 katika mabadiliko makubwa ya uongozi wa serikali. Mawaziri wote wataapishwa kesho Jumanne. Akizungumza katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Rais Samia amesema mabadiliko hayo yanahusisha kuanzishwa kwa wizara mpya, kubadilishwa kwa baadhi ya wizara za zamani na kuingizwa kwa sura mpya serikalini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Nafasi 350 za Ajira Serikalini
Next Post Waziri Mchengerwa Aanza Rasmi Majukumu Wizara Ya Afya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook