Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Watahiniwa 595,816 Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 Kesho

  • 12
Scroll Down To Discover


JUMLA ya watahiniwa 595,816 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) mwaka 2025, wakiwemo 569,914 wa shule na 25,902 wa kujitegemea.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed, amesema mtihani huo unatarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 17 hadi Desemba 5, 2025, na maandalizi yote muhimu yamekamilika ili kuhakikisha uendeshaji wenye uadilifu na usalama katika shule zote.



Prev Post China Yamuonya Vikali Waziri Mkuu wa Japan Kuhusu Kauli ya Taiwan
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook