Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Umoja wa Mataifa wataka Tundu Lissu aachiliwe bila masharti, katika Dira ya Dunia TV

  • 13
Scroll Down To Discover

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametoa wito kwa mara nyingine kuachiwa huru bila masharti vigogo wote wa upinzani waliokamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, akiwemo kiongozi wa chama cha upinzani cha CHADEMA Tundu Lissu, na watu wengine wote waliowekwa kizuizini tangu siku ya uchaguzi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Watanzania Waonesha Uwezo Katika Kampuni za Ubia
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 12, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook