Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Viongozi Wakuu wa CHADEMA Waachiwa kwa Dhamana

  • 2
Scroll Down To Discover

Viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA): Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanzania Bara John Heche, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara Amani Golugwa, Mwenyekiti Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama Boniface Jacob (Boni Yai) na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema wameachiwa kwa dhamana leo tarehe 10 Novemba 2025

Viongozi hao wanatarajiwa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam siku ya kesho Novemba 11, 2025 kwa hatua zingine za kisheria.



Prev Post Kesi ya Tundu Lissu yaahirishwa kwa sababu za kiusalama, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge Wapo Hapa… CCM, NRA, NLD, AAFP na ADC
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook