Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa Akamatwa Arusha

  • 12
Scroll Down To Discover

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimethibitisha kukamatwa kwaNaibu katibu Mkuu wake, Amani Golugwa leo Jumamosi, Novemba 8, 2025 majira ya asubuhi.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na mambo mengine imeeleza kuwa Golugwa amekamatwa akiwa nyumbani kwake jijini Arusha.



Prev Post Mahakama ya Uturuki yatoa vibali vya kukamatwa kwa Netanyahu na waziri wake
Next Post Kendrick Lamar na Lady Gaga Wavunja Rekodi, Watawala Uteuzi wa Grammy 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook