Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vyuo Kufunguliwa Novemba 17, Wizara Yatoa Ratiba Mpya ya Masomo 2025/26

  • 12
Scroll Down To Discover

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Novemba 8, 2025 imewatangazia Wanafunzi wote wa elimu ya juu na ya kati kuwa Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati Nchini vitafungukiwa kuanzia Novemba 17, 2025.

Hayo yamebainishwa kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Wizara ambapo imeeleza kuwa kwa mujibu wa kalenda ya mwaka wa masomo 2025/2026 mwaka wa kwanza wataanza kuripoti Novemba 17 ili kushiriki programu ya utangulizi (Orientation Day) na Wanafunzi wanaoendelea watarejea Vyuoni Novemba 24, 2025.

“Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanatakiwa kufika vyuoni kuanza Program ya Utangulizi (Orientation Program) kuanzia Novemba 17, 2025 kabla ya kuanza masomo rasmi, Wanafunzi wanao endelea watarejea Vyuoni kuanza rasmi masomo kwanzia Novemba 25, 2025.”



Prev Post Hii Hapa Orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi – Video
Next Post Mahakama ya Uturuki yatoa vibali vya kukamatwa kwa Netanyahu na waziri wake
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook