Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

D Voice Akutana Na Hitmaker Wa ‘Ginger’ L.A.X Nigeria.

  • 21
Scroll Down To Discover

Msanii Kutoka Label Ya #WcbWasafi @itsdvoice Ameianza Safari Yake Ya Kutaka Kuipeleka Singeli Kimataifa, Kwani Amekutana Na Muimbaji Wa Nigeria @izzlax 🇳🇬 Ambaye Ni Hitmaker Wa ‘Ginger’, ‘Sempe’ Na Zingine Kibao.

Dvoice Ame-Share Video Hii Ikiwaonesha Walivyokutana Huko Mjini Lagos, Nchini Nigeria Hivi Karibuni. Hii Ni Hatua Kubwa Kwa D Voice Akiendelea Kutanua Wigo Wake Katika Soko La Muziki Wa Kimataifa.

Hivyo Tegemea Kolabo Kutoka Kwa D Voice Na Mkali Huyu Wa Afrobeat ‘L.A.X’ Muda Wowote Kuanzia Hivi Sasa.

The post D Voice Akutana Na Hitmaker Wa ‘Ginger’ L.A.X Nigeria. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post D Voice Akutana Na Hitmaker Wa ‘Ginger’ L.A.X Nigeria.
Next Post Wimbo Wa Jux Na Diamond ‘ololufe Mi’ Ndani Ya Top 3 Itunes Nigeria
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook