Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

CCM Yafunga Kampeni Kwa Kishindo Uwanja wa Kirumba, Mwanza

  • 8
Scroll Down To Discover

Mwanza, Oktoba 28, 2025 — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mkutano mkubwa wa kufunga kampeni zake kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, tukio lililohudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo na mikoa jirani.

Mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifuatana na viongozi wakuu wa chama na Serikali, wakiwemo mgombea mwenza wa nafasi ya urais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, pamoja na viongozi waandamizi wa chama kutoka ngazi zote.



Prev Post Wazanzibari Wapiga Kura ya Mapema Leo, Uchaguzi Mkuu Kufanyika Kesho
Next Post Mgeja: Samia Anatosha Urais Haujaribiwi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook