Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Watoa Tahadhari kwa Mashabiki wa Soka kuelekea Wikiendi

  • 30
Scroll Down To Discover

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametoa tahadhari kwa mashabiki wa soka nchini, kuelekea kwenye mechi kubwa zitakazochezwa mwishoni mwa wiki zikizihusisha Klabu za Yanga na Simba.

Amesema Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kuhakikisha usalama unaimarishwa na kueleza kuwa, kwenye Mechi ya Yanga dhidi ya Silver Strikers, mashabiki wanatakiwa kuelewa kwamba mechi ya soka ina matokeo matatu, kushinda, sare au kufungwa na kwamba katika hali yoyote, mashabiki wanatakiwa kufuata sheria.



Prev Post Mnyika: Heche Yupo Kituo Cha Polisi Dodoma
Next Post Uchumi wa Tanzania Umezidi Kuimarika Katika Kipindi cha Miaka Minne Iliyopita
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook