Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mnyika: Heche Yupo Kituo Cha Polisi Dodoma

  • 29
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema ufuatiliaji wao umewezesha kugundua kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche yupo kwenye Kituo cha Polisi Dodoma.

Mnyika amezitaka mamlaka zinazohusika, likiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Uhamiaji, kutoa taarifa rasmi kwa umma kueleza mahali alipo na hali yake.



Prev Post Dkt. Samia Atoa Wito kwa Vijana Kuijenga Tanzania “Nchi Hii Ni Mali Yenu, Si ya Mwingine” – Video
Next Post Polisi Watoa Tahadhari kwa Mashabiki wa Soka kuelekea Wikiendi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook