Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, Akamatwa na Polisi Asubuhi Hii Akiwasili Mahakamani

  • 49
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo alipokuwa akiwasili mahakamani.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akiongelea kukamatwa kwa John Heche

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

 



Prev Post Serikali Yazindua Kizimba Maalum Ziwa Tanganyika Kulinda Wananchi
Next Post Mahakama Kuu Yakataa Ushahidi wa Flash Disk na Memory Card Kesi ya Tundu Lissu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook