Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Aongoza Mazishi ya Mkurugenzi wa TANESCO – Video

  • 18
Scroll Down To Discover

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko aongoza Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwasili katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga. Ibada hiyo inafanyika leo Aprili 16, 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombolezo katika Msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga.
Sehemu ya waombolezaji katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga, katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara Aprili 16, 2025



Prev Post Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Watumishi wa Umma Walioondolewa kwa Vyeti Feki
Next Post Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Aongoza Mazishi ya Mkurugenzi wa TANESCO – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook