Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wakenya wamuaga Raila huku mazishi yake yakitarajiwa jumapili. Matangazo ya Dira ya Dunia TV

  • 14
Scroll Down To Discover

Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa kitaifa wa NYAYO jijini Nairobi kwa Ibada ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga. Odinga atazikwa siku ya Jumapili Octoba 19 kando ya baba yake Jaramogi Oginga Odinga. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Dkt. Philip Mpango Awasili Nairobi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Raila Odinga
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 18, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook