Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Trump Aondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki

  • 15
Scroll Down To Discover

Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki – hatua inayojumuisha pia kuondoa ushuru wa asilimia 125 uliokuwa ukitozwa kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka China.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani (US Customs and Border Protection), bidhaa hizo sasa zimeondolewa kwenye orodha ya ushuru wa asilimia 10 uliokuwa ukiathiri nchi nyingi duniani, pamoja na ule wa juu zaidi dhidi ya bidhaa kutoka China.

Rais Trump, akiwa njiani kuelekea Miami, ameahidi kutoa taarifa zaidi kuhusu hatua hiyo katika siku chache zijazo.



Prev Post Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia Kwa Ajali
Next Post Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook