Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Songwe, Njombe, Mbeya na Ruvuma Kukosa Umeme Kesho

  • 10
Scroll Down To Discover

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) linawajulisha wateja wake wa mkoa wa Songwe, Njombe, Mbeya, Ruvuma na Wilaya ya Masasi kutakuwa na matengenezo katika kituo cha kupoza umeme cha Makambako. Kutokana na matengenezo hayo baadhi ya wateja watakosa huduma kesho Jumamosi kuanzia saa mbuli asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.



Prev Post Odds Kubwa na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet
Next Post Keri Hilson Adai Alilazimishwa Kum-Diss Beyonce.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook