Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Balozi Nchimbi Akutana Na Mwenyekiti Wa Wabunge Wa CCM, Spika Wa Bunge

  • 7
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakizungumza jambo wakati wakiagana baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika leo Ijumaa, tarehe 11 Aprili 2025, ofisini kwa Balozi Nchimbi, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. Pichani kushoto ni Ndugu John Mongella, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara).



Prev Post Msajili wa Vyama: Kauli ya “No Reform, No Election” Haijavunja Sheria, Uchaguzi 2025 Uko Pale Pale
Next Post Rais Samia Akutana na Mmiliki wa Man United Wafanya Mazungumzo Ikulu Dar
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook