
Mwanadada Caroline Hawa almaarufu carina kutoka tasnia ya filamu nchini, yupo India alikoenda kwa ajili ya matibabu ya tumbo lililomtesa kwa miaka mingi.
Akiwa huko, amezungumza na mwandishi wa habari kutoka Global TV, Imelda Mtema na kuelezea kuwa bado hali yake haiko sawa anakidonda kibichi hivyo watanzania waendelee kumuombea zaidi.
Mahojiano kamili yapo Youtube, Global TV!
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!