Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shaka Ssali Kufanyiwa Heshima za Mwisho Leo Marekani

  • 8
Scroll Down To Discover

Shaka Ssali enzi za uhai wake.

Shughuli ya kumuaga nguli wa tasnia ya habari Afrika na duniani, Shaka Ssali inatarajiwa kufanyika leo, April 10, 2025.

Shaka, mzaliwa wa Kabale, Uganda alikuwa akifanya kazi kwa muda mrefu katika Shirika la Habari la Voice of America.

Shaka alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, Machi 27, 2025 Virginia nchini Marekani.

Enzi za uhai wake, Shaka alijipatia umaarufu mkubwa kupitia Kipindi cha Straight Talk Africa kilichokuwa kikirushwa na VOA.



Prev Post SIKU YA KUSHINDA MAMILIONI NDIO LEO….
Next Post LHRC Yaitaka Polisi Kumwachia Tundu Lissu na Kuheshimu Haki za Kikatiba
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook