Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mshtuko! Mwanaume Adaiwa Kumuua Mama Yake wa Kambo

  • 8
Scroll Down To Discover

Mwanaume mmoja (Tatizo Yohana Mzumbwe) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mama yake wa kambo katika tukio lililotokea mkoani Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, tukio hilo lilitokea baada ya kutokea ugomvi wa kifamilia uliodaiwa kuibuka kati ya mtuhumiwa na marehemu.

“Ni kweli tunamshikilia kijana mmoja kwa tuhuma za kumuua mama yake wa kambo. Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa kulikuwa na mvutano wa kifamilia uliosababisha vurugu na hatimaye kifo cha marehemu,” alisema Kamanda huyo.

MGOMBEA UBUNGE wa CUF AUAWA KIKATILI SIHA – KILIMANJARO – WATU NANE MIKONONI mwa POLISI..



Prev Post Ng’wasi Damasi Kamani Atoa Wito kwa Vijana wa Tanzania
Next Post Makonda: Dkt. Samia Ni Mwanamke Wa Kwanza Kusababisha Kuwa Na Umeme Wa Uhakika
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook