Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwa nini bado vita vya Israel huko Gaza vinaendelea baada ya miaka miwli? Katika Dira ya Dunia TV

  • 75
Scroll Down To Discover

Ni miaka miwili tangu kundi la Hamas liliposhambulia raia wa Israel katika mji wa kusini mwa Israel na kuwateka watu zaidi ya 250 na kuwauwa wengine zaidi ya 1,000. Miaka miwili baadaye, Gaza imesalia magofu huku Israel ikichukua udhibiti wa maeneo kama jiji la Gaza na kwengineko kuzuia shambulizi lingine kutokea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Polisi Waanza Uchunguzi wa Tuhuma za Utekwaji wa Humphrey Polepole
Next Post Dkt. Samia Awaeleza Wananchi Jinsi ya Kupiga Kura Oktoba 29
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook