Shirika la Msalaba Mwekundu linasema maelfu ya Wapalestina wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na kwamba kusitishwa kwa dhulma hizo ni suala "la lazima na la harakaâ€. Shirika hilo limesema litarejea katika mji wa Gaza†wakati hali itakapoimarika kuruhusu oparesheni zake kuendelea.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw











Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!