Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RECAP: Simba walisusia mchezo makusudi kutoa Somo

  • 7
Scroll Down To Discover

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametoa maoni yake kuhusu Sakata la Simba kugomea mechi yao na Yanga.

Anasema kwa upande wake anaona kuwa Simba hawajashindwa kucheza mechi ila wameamua kufanya makusudi kwa lengo la kutaka watu wasiohusika na mpira kupewa adhabu.

Walitajwa makomando wa Yanga, Je TFF inawatambua?? Kwanini wahusike kulinda Uwanja?? Waliluwa watu wa Yanga kweli au Wahuni??

TFF lazima itoe kauli kuhusu watu hao wanaoitwa Makomando wa Yanga huenda hata Yanga wenyewe hawajui chochote, silu wakijakuathiri afya za Wachezaji nani atawajibika??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 



Prev Post RECAP: Kenya watashinda Grammy kabla ya Bongo – El Mando
Next Post BAADA YA KUSHINDWANA NA YANGA….CHIMBO JIPYA LA BALEKE HILI HAPA….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook