Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Diamond anaongozwa kutukanwa mitandaoni anavumilia

  • 7
Scroll Down To Discover

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameendelea kusema Wasanii kila kukicha wanaendelea kumshambulia Master Jay kisa kauli ya kubana Pua ila hawazungumzii namna gani wataboreshe Perfomance zao.

Hii inaonyesha kuwa asilimia kubwa wasanii wa Tanzania hawapendi kukosolewa na kushauriwa bali wanataka kusifiwa kwenye kila kitu.

Master Jay kuna sehemu alikosea lakini kuna sehemu aliongea ukweli kuhusu wasanii wengi hawawezi kufanya Show Live.

Kama wasanii kukosolewa na kutukanwa mitandaoni hakuna msanii anamfikia Diamond ila hajawahi kutukanana mitandaoni ma anavumilia.

Wasanii wengi hawawezi kuvumilia na hiyo ni mbaya kwenye kazi yake, kama anataka kila kitu asifuwr bali hafai kuwepobhata kwenye hiki kiwanda.

Licha ya Master Jay, Wakazi aliwashauri jambo zuri kuhusu kuboresha Live zao ila wamekomaa na Topic moja tu kuhusu kubana Pua.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman @samirkakaa



Prev Post Nicole bila Stive Nyerere angeozea Mahakamani
Next Post Mwijaku akomeshwa na Chief Godlove
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook