
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Msanii Nicole kukosa Dhamana na kuendelea kuwekwa ndani.
Anasema ameshangaa sana Wasanii wenzake kuonekana kufurahia matatizo ya Nicole licha ya kuwa ni msanii mwenzao na wanafanya nao kazi vuzuri tu.
Anaongeza wasanii wa Bongo Movie wanaweza kabisa kumsaidia kwa kuchanga hela ya Dhamana lakini wameamua kumsusa aendelee kuwa ndani.
Anaongeza bila Steve Nyerere kujitosa kuamua kumchangishia pesa huenda Nicole angeendelea kusota Mahakamani licha ya kuwa wasanii wenzake wapo.
Hii inaleta Picha mbaya sana kwa wasanii wakati matatizo yanamkutan kila mtu, ametolea mfano Sakata la Kajala na Elizabeth Lulu.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!