
Ilikuwa ni siku ya Ijumaa asubuhi nilipogundua kuwa akaunti yangu ya benki ilikuwa tupu. Nilipoingia kwenye app ya benki yangu, macho yangu yalijaa machozi mara moja. Kiasi nilichokuwa nimehifadhi kwa zaidi ya miaka mitano kilienda bila hata taarifa.
Nilishindwa hata kupumua vizuri. Nilipiga simu kwa huduma kwa wateja wa benki, lakini majibu yao hayakunipa matumaini. Walisema ilikuwa shambulio la mtandaoni na wangechunguza. Nilipoweka simu chini, nilijikuta nimekaa sakafuni nikilia. Hizo ndizo pesa nilizokuwa nikipanga kutumia kujenga nyumba ya familia yangu.
Familia na marafiki wangu walishangaa kusikia habari hizo. Wengine walinionea huruma lakini baadhi walinicheka na kusema nilikuwa mjinga kuweka akiba kubwa kwenye benki badala ya kuwekeza. Nilihisi nimeachwa peke yangu.SOMA ZAIDI
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!