Ufaransa imetangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pia ametoa wito wa kuwepo kwa jeshi la kimataifa linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa kutuliza hali katika ukanda wa Gaza baada ya vita. Kiongozi wa Palestina ametaka nchi nyingi zaidi kujitokeza na kufuata Ufaransa na Uingereza katika kulitambua taifa la Palestina.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!