Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

WIKIENDI YA MOTO WA CAF HII HAPA….SIMBA, YANGA MGUU SAWA…..

  • 43
Scroll Down To Discover

WIKIENDI imechangamka kwenye anga la kimataifa kutokana na timu zote nne kutoka Tanzania kuwa katika kazi.

Ijumaa, Uwanja wa 11 de Novembro, Wiliete Sports vs Yanga SC, saa 12:00 jioni.

Simba SC Jumamosi Septemba 20 itakuwa uwanjani kumenyana na Gaborone United saa 2:00 usiku.

Yanga SC na Simba SC ni katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya awali.

Azam FC wapo Sudan Kusini watacheza dhidi ya Al Merriekh Bentiu Septemba 20 saa 11:00 jioni.

Singida Black Stars wapo Reanda watakuwa na mchezo dhidi ya Rayon Sports Septemba 20 2025.

Azam FC na Singida Black Stars ni katika Kombe la Shirikisho Afrika.

The post WIKIENDI YA MOTO WA CAF HII HAPA….SIMBA, YANGA MGUU SAWA….. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post BAADA YA KUPEWA MIKOBA YA UKOCHA…..HILI HAPA SWALI ZITO KWA IBENGE NDANI YA AZAM FC…
Next Post BAADA YA KUIONA SIMBA YA MSIMU….ALLY KAMWE KAKUNA KICHWA WEEE…KISHA AKASEMA HILI….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook