Pamoja na kuzungumza na wananchi wanaotembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana (DIB) katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea, Meneja Uendeshaji wa DIB, Bw. Nkanwa Magina, alipata fursa ya kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kuuhabarisha umma mkubwa zaidi majukumu ya DIB.
Mwananchi aliyetembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana (DIB), akioneshwa kauli mbiu ya DIB inayosema Tunakinga Amana Yako katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi wa DIB, Bw. Silvan Makole, akisisitiza jambo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!