Reveiw: Moana 2

  • 83
Scroll Down To Discover

Download | Reveiw: Moana 2 | Movie

Story ya Moana 2 inaanza ikionyesha moana yupo kwenye moja ya kisiwa ambacho ni mbali na kisiwa anachosihi yeye, akiwa na lengo la kutafuta kama ataona jamii ya watu wengine kwenye visiwa vingine ,lakini kwa bahati mbaya hakufanikiwa kuona mtu yoyote ila alifanikiwa kuona kitu kama chungu ambacho kina michoro inayonekana ni wazi kuna watu ambao ndio walichora hicho hicho chungu.

Kwanini moana anatafuta watu kwenye visiwa vingine ? hii ni kwasababu ukiangalia vizuri kwenye moana ya kwanza ,hakuna jamii ya watu wengine ambao walionekana zaidi ya jamaii yakina moana.
Baada ya moana kurudi kwao anakutana na mdogo wake wa kike anaitwa SIMEA ambaye ni kubwa sasa ana umri kama ule wa moana kwenye moana ya kwanza alipoenda baharini.
Moana anakutana na baba yake ambaye baada ya kumpa Habari amepata chungu ambacho kinaonyesha wazi kuna sign ya watu wengine kwenye visiwa vingine.

Baada ya baba yake moana kupata Habari hizo na kujua kwamba moana anataka kuwaunganisha watu wote wa Bahari ,akamumbia naomba tukupe cheo cha TAUTAI.

TAUTAI NI NINI?
Sasa Tautai ni nini ? Kwenye history ya jamii yakina moana miaka 100o iliyopita kulikua na mtu ambaye cheo chake ni TUATAI na huyu alikua ndio connector of the sea ,mtu aliyeweza kuwaunganisha watu wa Bahari kua kitu kimoja.
Ikabidi moana akubali title ya TAUATI na wakaanda shughuli ya kumuapisha kama TAUTAI ,ila wakati moana anaapishwa ukatokea mwanga mkubwa ambao ulimtoa moana pale na kumpeleka kwenye DIMESION nyinge ambako huko aliweza kumuona huyo TAUTAI aliyewahi kuwepo kipindi hiko na kuweza kupata maelekezo ni nini anatakiwa kufanya ili aweze kuwaunganisha watu wa Bahari.



Prev Post Coco (2017)
Next Post Novocaine (2025)
Related Posts
© Image Copyrights Title

Novocaine (2025)

© Image Copyrights Title

Coco (2017)

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook