Unaambiwa Rapa Offset Amemfuta Kabisa Akilini Ex Wake Cardi B, Kwani Ameweka Wazi Mtu Maarufu Anayemvutia Na Anatamani Awe Mpenzi Wake Yani Celebrity Crush.
Offset Kwenye Mahojiano Na Complex Amemtaja Mwanamuziki Mrembo Wa Marekani @sabrinacarpenter Kama Celebrity Crush Wake . Hii Inaonesha Kuwa Offset Ameamua Kuendelea Na Maisha Yake Baada Ya Kuachana Na Cardi B.
✍️:#TRIGGAH (@officialtriggah_)
The post Offset Amtamani Muimbaji Mrembo Sabrina Carpenter. appeared first on Wasafi Media.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!