Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Askari wa Jeshi la Magereza Kizimbani kwa Kosa la Kumlawiti – Video

  • 31
Scroll Down To Discover

Askari wa Jeshi la Magereza amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, akikabiliwa na kesi ya kumlawiti mtoto wa miaka 13.

Askari huyo alifikishwa mahakamani jana, Juni 24, 2025, mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Ruth Mkisi, na kusomewa shtaka moja la ulawiti.

Awali, Juni 14, 2025, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Abel Mtagwa, alithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kueleza kuwa taratibu za kijeshi dhidi ya askari huyo zinaendelea, na baada ya kukamilika, hatua nyingine za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.



Prev Post Majaliwa Azindua Mitambo Ya Shillingi Billioni 12.4 Kwa Ajili Ya Wachimbaji Wadogo
Next Post Museveni Kuwania Tena Urais 2026 kwa Muhula wa Saba, Bobi Wine Asema Yupo Tayari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook