Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Samia Amvalisha Kofia Kiongozi Mpya Aliyehama ACT-Wazalendo (Picha +Video)

  • 7
Scroll Down To Discover

KIGOMA – Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemvalisha kofia ya chama hicho mwanachama mpya, Ndugu Said Bakema Rashid, aliyewahi kuwa kiongozi na mratibu wa ACT-Wazalendo kwa mikoa mitano ikiwemo Kigoma.

Bakema alitangaza kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Septemba 14, 2025, kwenye Uwanja wa Katosho, mkoani Kigoma.



 

 



Prev Post Mgombea Urais Mpina Awekewa Mapingamizi Matatu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook