Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ni kwa nini Uganda imekubali kuwapokea wahamiaji waliofurushwa Marekani? Katika Dira ya Dunia TV

  • 5
Scroll Down To Discover

Serikali ya Uganda imethibitisha kuweka makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa kupata hifadhi nchini humo. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa serikali ya Rais Donald Trump kushawishi mataifa mengi zaidi duniani kuwakubali wahamiaji waliofukuzwa nchini humo. Hatua hii imekashifiwa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Vodacom Tanzania Yaripoti Ukuaji Imara Uliochagizwa Na Azma Yake Ya Kugusa Jamii Kwa Mwaka Wa Fedha 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook