Israel imetekeleza shambulizi katika mji mkuu wa Qatar, Doha, ikilenga viongozi wakuu wa Hamas. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema shambulio hilo lilikuwa la kujibu uvamizi wa Oktoba 7 mwaka 2023 wa kundi la Hamas.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!