Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa hukumu ya kifo kwa rais wa zamani Joseph Kabila kutokana na makosa kadhaa, ikiwemo uhalifu wa kivita.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!