Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Wakabidhi Vifaa kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Bariadi

  • 50
Scroll Down To Discover

Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau ( wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum – Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na mkuu wa shule ya Msingi Sima A Mwl Adalbert Chambia ( wa pili kulia )katika shule ya Msingi Sima A, wilayani Bariadi mkoani Simiyu. Msafara huo pia walikabidhi miche ya miti 100, matundu ya vyoo 10, magodoro 40, vitanda 20, viti mwendo 4, magongo ya kutembelea 5, magongo ya mabega 5, magongo ya kiwiko 5. Msafara huo unadhaminiwa na Vodacom Tanzania ikishirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania utahitimishwa tarehe 13 mwezi Julai mwaka huu katika Mkoa wa Mara wilayani Butiama nyumbani kwa hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere.



Prev Post Serikali imeitaka sekta binafsi kushiriki Katika utekelezaji wa Mpango mkakati wa Kuhamisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Next Post CHUO CHA BENKI KUU CHATOA KOZI ZA MUDA MFUPI NA MREFU KWA WASHIRIKI WA EAC NA SADC
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook