Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Akifuatilia Bajeti Kuu Ya Serikali

  • 32
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefuatilia Hotuba ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 akiwa ofisini kwake, katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Alhamisi, tarehe 12 Juni 2025. Pamoja naye ni maofisa waandamizi wa CCM Makao Makuu.



Prev Post Makalla: Awamu ya Pili Mradi wa Maji Mwanga Same Korogwe Kutekelezwa
Next Post Umma Usipotoshwe Kuhusu Kesi ya Chadema : Mawakili wa Mdai
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook