
Mwanadada Hazara almaarufu Ronaldo, hatunaye tena duniani. Amefikwa na mauti kwa upweke mkubwa kiasi cha mwili wake kukutwa ndani ukiwa umeanza kuharibika.
Mjumbe wa mtaa aliokuwa anaishi, anafunguka jinsi walivyomkuta ndani akiwa amefariki dunia kwenye chandarua.
Enzi za uhai wake, Hazara amewahi kupostiwa na Rais Donald Trump wa Marekani.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!