Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

CRDB Yazindua Hatifungani ya Kwanza Isiyo na Riba kwa Wawekezaji wa Kiislamu

  • 10
Scroll Down To Discover

Katika uzinduzi wa kihistoria wa CRDB Al Barakah Sukuk, Mgeni Rasmi ambae ni Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Benki ya CRDB kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye mauzo ya “Kijani Bond” na “Samia Miundombinu Bond”. Amesema mafanikio ya hatifungani hizo yanatoa taswira kuwa hata CRDB Al Barakah Sukuk itapata mafanikio makubwa kwani wawekezaji wana imani katika malengo na uwezo wa Benki ya CRDB.

Aidha Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete ameeleza kuwa CRDB Al Barakah Sukuk itaongeza mchango katika ushiriki wa Watanzania kwenye masoko ya mitaji na dhamana kwa kuwa inatoa nafasi kwa watu ambao awali walikuwa hawawezi kuwekeza kwenye hatifungani zenye riba kwa sababu ya imani zao kuweza kuwekeza katika hatifungani hii.



Prev Post Hayati Job Ndugai Aagwa kwa Heshima Kongwa, Azikwa Kijiji cha Madumbwa
Next Post CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook