Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai (Picha +Video)

  • 23
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai tarehe 10 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, tarehe 10 Agosti 2025.

Rais Samia aliwasili kuongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Yustino Ndugai, aliyefariki dunia hivi karibuni. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, wabunge, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.



Prev Post Rais Samia: Hayati Ndugai Alikuwa Mkomavu Kisiasa Na Kiuongozi (Picha +Video)
Next Post FADLU ASHTUKA JAMBO ZITO SIMBA…..AWAPA MAELEKEZO MABOSI CHAP KABLA LIGI KUANZA….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook