Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Awahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwela, Sumbawanga Vijijini

  • 7
Scroll Down To Discover

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwela katika Uwanja wa Laela A,Sumbawanga Vijijini katika mkutano mdogo wa hadhara wa Kampeni  leo Jumatatu Septemba 8,2025.

Baada ya kuwahutubia Wananchi,Dkt.Nchimbi alitumia nafasi hiyo  pia kuwanadi wagombea Ubunge wa Mkoa wa Rukwa akiwemo Mbunge wa jimbo la Kwela,Deus Clement Sangu pamoja na Madiwani.

Dk.Nchimbi ameingia Mkoani Rukwa leo kuendelea na mikutano yake ya kampeni ya kutafuta kura za kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025.



Prev Post Kesi ya kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu kusikilizwa kesho Jumanne. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post NIRC Yaridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Wa Skimu Ya Makwale-Kyela
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook