Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Hersi Said Aachwa Nje! CCM Yateua Wagombea Sita Kigamboni

  • 38
Scroll Down To Discover

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 29, 2025, kimetangaza majina ya wagombea sita waliopitishwa kuwania ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia kura za maoni. Miongoni mwa walioteuliwa ni:
✅ Ponela Matei
✅ Habib Mchange
✅ Allan Sanga
✅ Henjelewe
✅ Ally Mandai
✅ Francis Elias

Kilichoibua mshangao zaidi ni jina la Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, kutokurudi kabisa kwenye orodha ya waliopitishwa, licha ya jina lake kuwahi kutajwa na kupewa nafasi kubwa.

Tangazo hilo limetolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, katika mkutano rasmi na waandishi wa habari uliofanyika leo.

BONYEZA HAPA >>> ORODHA YA WAGOMBEA WA NAFASI ZA UBUNGE WALIOTEULIWA NA CHAMA



Prev Post Luhaga Mpina Aachwa Nje! CCM Yateua Wagombea Saba Kura za Maoni Kisesa
Next Post Meridianbet Inamaliza Mwezi kwa Kishindo, Simu Tano za Galaxy A25 Kutolewa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook